Jarida Letu

Ninaona Sistahili

27 Aug 2026

Ninaona Sistahili

Naona sistahili.
 Hii sauti huwa ya ajabu sana ndani ya mtu , ikipita kwenye akili yako unaweka ukaishi maisha ya kujilaumu, kujikataa na kutokujiamini. Naona sistahili ni sauti ili wahi nisumbua katika maisha yangu lakini nilifanya bidii ili niikate maana maisha yanahiyaji UJASIRI.

Je, umewahi kusikia sauti hii ya kuona haustahili jambo hilo? ulifanyaje ama ulichukua maamuzi gani ?
Hivi umewahi kuwa na hofu inakusumbua ndani iliyotokana na maumivu ya nyuma?

Kitabu cha NAONA SISTAHILI  kina kuja ili kujibu hayo maswali hayo!